Wanajanvi, ninaomba mniambie, kwa watu waliowahi kuwekeza wanapata manufaa gani. Je huu mfuko ni sawa na kununua hisa? Je unapataje manufaa? Mwanye uzoefu anieleze tafadhali, asante. =========== UTT AMIS ilianzishwa mwaka 2013 kuchukua majukumu ya usimamizi wa Mifuko ya Uwekezaji wa pamoja...
Tangulizi Uwekezaji ni moja ya njia bora za kujenga utajiri wa muda mrefu, na nchini Tanzania, vipande vya UTT-AMIS (Unit Trust of Tanzania - Asset Management and Investor Services) na majengo ya kupangisha vimekuwa maarufu kwa wawekezaji. Uwekezaji huu miwili unatoa fursa tofauti zenye faida...
Habari za usiku ndugu zangu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote mwenye uelewa juu ya uwekezaji katika taasisi ya serikari UTT. Hizi bond fund na liquid/ukwasi zinatofautiana vipi ukiwekeza huko hela yako? Na hatifungani za benkii kuu na hizi za UTT zipi ni nzuri zaidi?
Kwa wote mlioweka pesa UTT Amis katoeni haraka sana tafuteni mifuko mingine ya kuweka mnaenda kulia muda sio mrefu mtaukumbuka huu uzi mpango namba Moja wa serikali ...
Habari wana jamvi Leo ningependa kufahamishwa zaidi kuhusiana na utt. Jinsi inavyofanya kazi. Jinsi ya kununua kama unaweza kujisajili na kuwekeza kwa watu tulio mbali na DSE Jinsi ya kupata faida na jinsi ya kutoa pesa [emoji116][emoji116][emoji870][emoji113][emoji870][emoji113]
Habar wakuu nimekuja kwenu Nina akiba hapa ya 40m,nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoeufu wa uwekezaji mpo,nishaurini kati ya kununua hisa CRDB,NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo, Maana nafanya shughuli zangu zingine zabiashara kama kawaida ila Nina hiyo akiba
Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea. Hapa kuna mlinganisho mfupi: 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
Habari za muda huu wakuu, Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri itakayoniwezesha kutunza walau kila pesa ndogo nayopata( kuanzia elfu kumi) Kwa muda wa miezi miwili sasa...
UTT Asset Management and Investor Services PLC (UTT AMIS) is a leading fund management company in Tanzania, specializing in establishing and managing collective investment schemes. Born from the Unit Trust of Tanzania (UTT), UTT AMIS is dedicated to fostering a savings culture by encouraging broad participation in unit ownership.