Tunaangazia swala la demokrasia na utawala bora. Juhudi nyingi zeimefnywa na wengi kuleta madadiliko ya kijamii na kuhimiza uongozi wa kuzingatia sharia. Lakini licha ya yote hayo, mabadiliko ya ...
Dar es Salaam ndio mji mkubwa , tajiri zaidi na wenye biashara chungu nzima nchini Tanzania. Jina lake lina maanisha sehemu ya amani na unajulikana kwa bandari yake kubwa , fuo zake rembo za bahari ...